PSI

PSI

Thursday, August 2, 2012

PICHA ZA WAKALI WA MAN U MAREKANI NA MAMA OBAMA PAMOJA NA FANS!

Wachezaji wakongwe wa Manchester United walipokutana na mama Michelle Obama mke wa rais Obama wa Marekani.


Pamoja na kukutana na Mama Obama wakali wa Manchester United pia walitoa mafunzo ya Penalty kwa mamia ya mashabiki zake.







No comments: