Vanessa
ambae pia ni mtangazaji wa 102.6 CHOICE FM Dar es salaam akiwa nje ya
jumba la kifahari analomiliki Emmanuel Adebayor kwao Togo.
Picha zote hapo juu zimepigwa
wakati MTV BASE wakiwa wanashoot show mpya inaitwa MTV Base meets with
MTN itakayo Anza kuonueshwa MTV Base Agosti 1 2012! hakikisha unakaa
mbele ya kioo chako hiyo siku kuchek vitu kama hivyo na ukienjoy pia
ubunifu wa interview za Vanessa Mdee… ni bonge la show, ni time ya
Africa!!!!!
Adebayor ni mchezaji maarufu
kutoka Togo Africa lakini mwenye asili ya Nigeria ambae ameng’aa kwenye
timu kama Manchester City, Real Madrid na Tottenham.
|
No comments:
Post a Comment