Marehemu Kyle akiwa na mtoto wa Ginuwine, Kyle ni mtoto wa Tameka aliyempata na mwanaume mwingine kabla ya kuoana na Usher.
Kyle Glover ambae ni mtoto wa
mke wa zamani wa Mwimbaji Usher Raymond, amefariki dunia leo kutokana na
kuumia kwenye ajali ya pikipiki za kwenye maji maarufu kama Jetski
mwanzoni mwa mwezi huu huko Georgia Marekani.
Madaktari wametoa mashine
zilizokua zinasaidia kumuweka hai mtoto huyo aliekua na umri wa miaka 11
baada ya kugundua kwamba majeraha aliyoyapata yasingeweza kutibika.
Usher’s stepson, Kyle
akiwa na rafiki yake wa kike mwenye umri wa miaka 15 walipata ajali
july 8 2012 huko Georgia baada ya Inner tube waliyokuwemo iliyokua
ikivutwa na boti kugongwa na Jetski wakiwa kwenye maji na hivyo kupata |
No comments:
Post a Comment