Kiungo-mshambuliaji wa mavenda, Abu Twalib, maarufu kama Yondu, (kushoto) akijiandaa kuachia shuti.
KATIKA mechi baina ya mawakala wa magazeti na wauzaji wa rejareja (mavenda) iliyochezwa jana asubuhi Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam timu hizo zilitoka sare kwa kufungana mabao 2-2.
|
No comments:
Post a Comment