| Mchezaji wa Coastal Union Nsa Job
ambaye alipata majeraha ya goti na kwenda nchini India kwa ajili ya
kufanyiwa upasuaji anatarajia kurudi Tanzania kesho baada ya kupatiwa
matibabu mazuri huko nchini India. Nsa anasema alifanyiwa upasuaji kwa
muda wa masaa nane na baadae akatolewa na kuwekwa chumba maalum kisha
baada ya muda akatolewa na kuruhusiwa. Anasema anaendelea vizuri na
kesho mungu akimjaalia anarudi Bongo |
No comments:
Post a Comment