Rafael Benitez aliyewahi kuwa kocha wa Liverpool ndio ametangazwa kama kocha wa muda wa Chelsea mpaka mwisho wa msimu baada ya Roberto Di Matteo kufukuzwa jana baada ya Chelsea kupigwa 3-0 na Juventus.
Vyombo mbalimbali vya habari U.K vilitangaza kwamba ilithibitishwa uongozi wa Chelsea ulikua kwenye mazungumzo na kocha Pep Guardiola kocha wa zamani wa Barcelona lakini kocha huyo alizidi kusisitiza kwamba ataanza kufanya kazi 2013 hivyo kwa sasa aachwe kidogo.
|
No comments:
Post a Comment