Chelsea wamemalizana na mshambualiji raia wa Cameroon Samuel Eto'o kwa uhamisho wa bure akitokea Anzhi Makhachkala ya Russia.
Etoo
aliyesaini mkataba wa mwaka mmoja anasema hayakuwa maamuzi magumu
kwake,anaujua ubora wa Chelsea na amekuwa na furaha na kocha wa timu
hiyo Jose Mourinho kabla ya kujiungaa na timu hiyo,kwahiyo nafasi
inapokuja hawezi kuiacha.
Mourinho amemchukua Eto'o baada ya ofa mbili za Chelsea kuchomolewa na Manchester United ili kumnasa mshambuliaji Wayne Rooney.
Eto'o's club honours
Real Mallorca (1999-2004): Copa del Rey (2003). Scored 69
goals in 165 appearances.
Barcelona (2004-2009): Champions League (2006, 2009); La
Liga (2005, 2006, 2009); Copa del Rey (2009); Spanish
Super Cup (2006, 2007). Scored 129 goals in 201 appearances.
Inter Milan (2009-2011): Champions League (2010); Serie
A (2009); Coppa Italia (2010, 2011), Italian
Super Cup (2010); Fifa World Club Cup (2010). Scored
53 goals in 101 appearances.
Anzhi Makhachkala (2011-2013): Scored 36 goals in 71
appearances.
|
No comments:
Post a Comment