Mshike mshike wa kulisaka taji la Uefa Champions league hatua ya makundi
unaanza kutimua vumbi lake leo kwenye viwanja mbalimbali huku mabingwa
watetezi Bayern Munich nao wakianza kulitetea taji lake.
Katika mechi za leo Manchester United chini ya David Moyes na Real Madrid chini ya Carlo Ancelotti nazo zipo kibaruani.
Galatasaray itakuwa nyumbani ikiwaalika Real Madrid katika mchezo ambao
Didier Drogba anakutana na Ancelotti kocha wake wa zamani aliyewahi kuwa
naye Chelsea,huku PSG nao wakitupiwa jicho baada ya kufanya kufuru
kumnasa mshambuliaji Ednson Cavanni
Match za leo
Match za leo
- Man Utd v B Leverkusen 19:45
- Plzen v Man City 19:45
- Bayern Munich v CSKA Moscow 19:45
- Benfica v Anderlecht 19:45
- FC Copenhagen v Juventus 19:45
- Galatasaray v Real Madrid 19:45
- Olympiakos v Paris SG 19:45
- Real Sociedad v Shakh'r Donetsk 19:45



No comments:
Post a Comment