PSI

PSI

Thursday, October 24, 2013

Torreeeeeeeeees.


USHINDI wa mabao 3-0 dhidi ya Schalke 04, umewapandisha kileleni mwa kundi E Chelsea katika mchezo wa ligi ya mabingwa ambao Fernando Torres alifanya yake baada ya kutupia mawili na lingine likiwekwa wavuni na Eden Hazard na kuandikisha rekodi ya ushindi wa nne mfululizo.
 
 
 
 
 
 

No comments: