Hizi picha zimepigwa maeneo ya Liverpool Lime Street Station ambapo ilikuwa ni baada ya Arsenal kupokea kipigo cha magoli 5 kwa 1 kutoka kwa Liverpool.
Baada ya kudondoka Wenger alipewa msaada na askari waliokuwepo maeneo hayo japokuwa hakupata majeraha yoyote.
No comments:
Post a Comment