PSI

PSI

Tuesday, July 10, 2012

FAINALI YA SIMBA NA AZAM URAFIKI CUP YAHAMISHIWA DAR ES SALAAM

Taarifa rasmi nilizozipata kutoka Zanzibar ni kwamba mchezo wa fainali ya kombe la Urafiki, kati ya mabingwa wa Tanzania bara na Simba SC dhidi ya Azam FC iliyokuwa imepangwa kufanyika huko Zanzibar kwenye uwanja wa Amani sasa imehamishwa.

Mechi hiyo sasa itachezwa kwenye uwanja mkuu wa taifa jijini Dar es Salaam siku Alhamisi kuanzia saa moja usiku.

No comments: