Baada ya Mario Balotelli kutangaza
kwamba anatarajia kupata mtoto na demu wake Raffaella, leo Gael Glichy
amejitokeza mitaani na mkewe wake Charlene Guric ambaye sasa
imegundulika ni mjamzito wa miezi minne.
Clichy na mkewe Charlene walionekana wakitembea kwenye maduka ya
St.Lopez wakifanya manunuzi ya vitu mbalimbali siku mbili baada ya
mchezaji mwenzie wa Manchester City Mario Balotelli na mchumba Modo
Raffaella kutangaza kwamba wanatarajia kupata mtoto.
Inaonekana wachezaji wa City wamepania kutengeneza timu nyingine ya watoto wao sasa. |
No comments:
Post a Comment