PSI

PSI

Tuesday, July 3, 2012

MILOVAN AONGEZA MKATABA NA SIMBA.

Kocha mserbia Milovan Cirkovic amesaini mkataba wa mwaka mmoja kuendelea kuifundisha Simba, zoezi hilo lilisimamiwa na mwenyekiti wa klabu ya Simba Mh Ismail Aden Rage.

No comments: