Andre Villas Boas aliyekua
kocha wa Chelsea kabla ya kutimuliwa muda mfupi baadae baada ya timu
kuvurunda ndio ametangazwa kuwa kocha mpya wa club ya Tottenham sasa
hivi.
Villa Boas (34) aliwasili
London jumatatu wiki hiikufanya mazungumzo na Tottenham ambapo baada ya
kukubaliana, mzigo ukatangazwa.
Kocha huyu mdogo kiumri ameanza
kufundisha club kama kocha akiwa na umri wa miaka 21 tu na sasa
amechukua mkataba wa miaka mitatu kwenye club yake ya tano kuifundisha. |
No comments:
Post a Comment