KIMENUKA ZANZIBAR! Yanga
yaondolewa kwenye michuano ya Urafiki visiwani Zanzibar, ni baada ya
kufanya 'uhuni' wa kuleteta watoto wa 'chekechea' katika mashindano,
mashabiki wakasirika wataka ifungiwe kucheza katika visiwa vya
Zanzibar.....Taarifa kamili msikilize afisa Habari wa ZFA Taifa, Munir Zakaria, kupitia kipindi cha michezo cha COCONUT FM kuanzia saa 2 kamili usiku wa leo!
|
No comments:
Post a Comment