Simba Sc na Azam Fc zimeonyesha
ubabe na kufikia fainali ya kombe la Urafiki huko Zanzibar fainali
ambayo ilikua ifanyike huko huko Zanzibar.
hili kombe ni kwa ajili ya
kuuweka vizuri uhusiano wa Tanzania bara na Visiwani baada ya vurugu
zilizotokea huku baadhi ya watu wakitaka muungano uvunjwe.
Taarifa kamili ni kwamba
fainali hiyo iliyokua ipigwe Zanzibar leo jumatano imesogezwa mbele na
sasa itapigwa Dar es salaam Uwanja wa Taifa Alhamisi July 12 2012 saa
moja jioni. |
No comments:
Post a Comment