PSI

PSI

Wednesday, July 11, 2012

KALI YA LEO: DAKTARI AKIWA KAZINI!

Daktari wa timu ya Taifa ya Tanzania ya mchezo wa Criketi akimpa huduma ya kwanza mchezaji wa timu ya Taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 19 nchini Naminia,tukio hili lilitokea mwaka 2009!

No comments: