Mjapan Shinji Kagawa amezaliwa miaka 23 iliyopita na club yake ya mwisho
kuichezea ni Borussia Dortmund na kaifungia magoli 21 kwa miaka miwili
aliyokaa nayo na amezichezea timu za taifa toka mwaka 2006, Powell yeye
ameichezea Crew Alexandra kwa miaka miwili na kuondoka na magoli yake
16, Timu za taifa za England amejiunga nazo toka 2009 |
No comments:
Post a Comment