MTANZANIA ZAKIA MRISHO ASHINDWA KUFURUKUTA MICHUANO YA OLIMPIKI
Mshiriki wa michuano ya Olimpiki kutoka Tanzania, Zakia Mrisho, leo
ameshindwa kufurukuta baada ya kuambulia nafasi ya 31 kati ya washiriki
34 waliokimbia mbio za mita 5000 kwa wanawake. Zakia amekimbia umbali
huo kwa dakika 15 na sekunde 39.…
No comments:
Post a Comment