PSI

PSI

Tuesday, August 7, 2012

EXCLUSIVE: EMMANUEL OKWI AWASILI SIMBA !

Mshambuliaji Emmanuel Okwi amewasili muda mchache uliopita jijini Dar Es Salaam tayari kwa ajili ya siku ya Simba ya hapo kesho,
Kwamujibu wa msemaji wa Simba Ezekiel Kamwaga amenihakikishia ya kwamba Okwi yupo mjini na wakati naongea naye alikuwa klabuni mtaa wa Msimbazi akijiandaa kwenda viwanja vya TCC Chang'ombe kwa ajili ya Mazoezi.

No comments: