BALOTELLI ALA BATA NA WASHIKAJI ZAKE
Mario Balotelli (katikati) ali-posti picha Instagram akiwa na marafiki zake katika mgahawa wa San Carlo Mjini Manchester
MSHAMBULIAJI
wa Liverpool, Mario Balotelli aliikosa mechi ya jumamosi Liverpool
ikishinda 2-0 dhidi ya Aston Villa kutokana na kuwa mgonjwa, lakini
haikumzuia kwenda viwanja na maswahiba wake jana jumapili.
Balotelli
alionekana katika mgahawa wa San Carlo katikati ya mji wa Manchester,
na aka-posti picha Instagram… akiwa na glasi ya Cocacola.
Balotelli (kulia) akiwa na marafiki zake jana jioni
No comments:
Post a Comment