KAULI YA SIKU: MOURINHO - NIPO PEKEE YANGU KWENYE SOKA
"Mimi ndio kocha pekee ambaye nimeshinda
makombe ya ligi katika nchi tatu kubwa tofauti. Hivyo nafikiri, itabidi
badala kuniita "Special One" muanze kuniita "Only One"." Aliongea maneno haya kocha wa Real Madrid akitambia mafanikio yake.
No comments:
Post a Comment