Kiungo wa kimataifa wa Cameroon Alex
Song anasumbuliwa na goti hivyo hata andamana na kikosi cha timu ya
Taifa ya Cameroon kinachokuja kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya
Tanzania hapa jijini Dar Es Salaam. Daktari wa timu ya Fc Barcelona ametoa
taarifa kwenye tovuti ya timu hiyo kuwa Song hataandamana na wenzake
kuja Tanzania kutokana na majeraha ya goti aliyoyapata.
|
No comments:
Post a Comment