| Nahodha
wa timu ya Taifa ya Cameroon amejiondoa kwenye kikosi kinachokuja
kucheza na Taifa Stars kwenye mchezo wa kimataifa wa kirafiki unaotaraji
kuchezwa hapo kesho kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar Es Salaam
kutokana na matatizo ya mgongo yanayomsumbua hivi sasa.
Kwenye picha juu ni nahodha wa Taifa
Stars Juma Kaseja leo kweye mkutano na waandishi wa habari alikuwa peke
yake bila Eto'o aliyetarajiwa pia kuwepo |
No comments:
Post a Comment