Mapema wiki hii siku ya jumatano nusu
fainali ya pili ya ligi ya mabingwa ulaya kati ya Borussia Dortmund
dhidi ya Real Madrid ilitengeneza takwimu nyingine ya kuonyesha kwamba
utajiri hauchezi mpira. Katika mechi hiyo iliyoisha kwa Dortmund
kushinda kwa mabao 4-1 - vikosi vilivyoanza vya timu hiyo vilikuwa na
tofauti kubwa ya gharama zilizotumika katika kuviunda.
|
No comments:
Post a Comment