According
to MTV BASE ni kwamba Mrembo RiRi kwenye show aliyoifanya juzi
Johannesburg, inaaminika kwamba ameweka rekodi kwa kuwa msanii wa kike
kupata watu wengi kwenye uwanja wa FNB Jumapili ya 13 October ambapo
idadi aliyoipata ni ya zaidi ya watu elfu tisini (90)
October 16 2013 RiRi atafanya show huko Capetown South Africa ambapo
wakati akiwa bado S.A ameendelea kutokelezea kwenye picha kadhaa kama
hizi akiwa na Wanyama mbalimbali.
No comments:
Post a Comment