GOLIKIPA Thibaut Courtois amefunguka na kuwaambia Chelsea hayuko tayari
kuwa kama tairi ya spea kwam golikipa namba moja wa timu hiyo Petr Cech
wakati atakapomaliza mkataba wake wa mkopo huko Atletico Madrid mwakani.
Courtois kwasasa anatumikia msimu wake wa tatu kwenye klabu hiyo ya La Liga baada ya kujiunga na Chelsea akitokea FC Genk kwa dau la paundi milioni 7 mwaka 2011.

![]() |
| Thibaut Courtois |
Hatima ya kipa huyo raia wa Belgium imekuwa inafikiriwa kwa kiasi
kikubwa na the Blues wakati anamaliza kucheza kwa mkopo mkataba wake na
Chelsea utakuwa umebaki miaka miwili kumalizika na tayari klabu nyingi
zimeonesha kuhitaji huduma yake Barcelona.
Cech, 31, ambaye amekuwa golikipa chaguo la kwanza la Chelsea tokea alipojiunga akitokea Rennes kwa dau la paundi milioni 7 mwaka 2004,amesaini mkataba wa miaka mingine mine ya kuitumikia Chelsea mwaka 2012.

| Peter Cech akifanya yake |
Courtois hataki kurudi Chelsea na kuwa kipa chaguo la pili na
alipoulizwa kuhusu hilo alisema anataka kucheza hataki kusugua benchi.
Anasema anajisikia safi akiwa na Atletico ikimfanya kucheza Champions League na anajiona amekua na hasa msimu uliopita ambao wamepata taji la European Super Cup na Copa del Rey.

No comments:
Post a Comment