Katika
mechi hiyo iliyochezwa kwenye Uwanja wa Karume, Stars walicheza
taratibu na kwa kujiamini huku vijana wa Future Taifa Stars ambayo ni
timu ndogo ya taifa walionyesha wamepania zaidi.
Bao pekee katika mchezo huo lilifungwa na Elias Maguri ambae alipokea pasi safi kutoka kwa Haruna Chanongo
Stars walijitahidi kusawazisha lakini haikuwa kazi rahisi na mpaka mwisho, ngoma ikalala wakubwa wakienda doro.
No comments:
Post a Comment