PSI

PSI

Wednesday, January 8, 2014

KAKA AIFUNGIA MILAN BAO LA 100.



kiungo wa AC MILAN raia wa Brazil Ricardo KAKA ameifungia timu yake mabao mawili kwenye ushindi wa mbao 3-0 dhidi ya ATALANTA kwenye mchezo wa Serie A.
kaka kabla ya mchezo wa leo alikuwa ameifungia Milan mabao 99.

No comments: