Katika hali ya kushangaza bondia Francis Cheka leo amemkimbia
mpinzani wake Japhet Kaseba baada ya kugoma kupigana dakika kadhaa kabla
ya pambano lao lilopangwa kufanyika leo uwanja wa taifa kwenye tamasha
la matumaini. Cheka akizungumza na waandishi wa habari alitoa sababu
ambazo kwa wengi zilionekana hazina mashiko - eti kwamba Kaseba sio
saizi yake hivyo hawezi kupigana na mambo mengine yasiyo na maana. Kwa
taarifa zaidi kuhus Cheka endelea kutembelea |
No comments:
Post a Comment