PSI

PSI

Sunday, July 8, 2012

WOLPER NA WEMA SEPETU HAKUNA MBABE - WATOKA DROO

Refa akitoa maelekezo kabla ya pambano



Wolper na Wema wakionyeshana ubabe.
Waigizaji mahiri wa filamu nchini, Wema Sepetu na Jacqueline Wolper wametoka suruhu katika mpambano wao wa raundi 2 uliofanyika katika Uwanja wa Taifa jijini Dar e Salaam kwenye Tamasha la Usiku wa Matumaini.

No comments: