PSI

PSI

Monday, July 9, 2012

MESSI, ETO'O, PIQUE, PUYOL, FABREGAS WAHUDHURIA KWENYE NDOA YA ANDRES INIESTA - HUKU WACHEZAJI WA REAL MADRID WAKIMTOSA

Mwanasoka bora wa michuano ya Euro 2012 - kiungo wa timu ya taifa ya Spain na Barcelona Andres Iniesta jana alifunga ndoa na mchumba wa siku nyingi kwenye sherehe ya ndoa hiyo iliyofanyika huko Barcelona Spain. Ndoa hiyo ilihudhuriwa na mastaa wengi akiwemo Samuel Eto'o, Gerad Pique, Cares Puyol, Cesc Fabregas, Victor Valdes, na wengine huku - wachezaji wenzake Iniesta wa timu ya taifa wanaotoka klabu ya Real Madrid wakimtosa Iniesta kwa kutohudhuria sherehe hizo.


Special guests: Lionel Messi (left) and Samuel Eto'o
Safu ya Ulinzi ya Barca ilikuwepo kuhakikisha kila kitu kinaenda sawa

Andres Iniesta akiwa mama yake mzazi

No comments: