PSI

PSI

Friday, July 6, 2012

HIZI NDIO PICHA 15 ZA JUMBA JIPYA LA KIFAHARI ALILONUNUA MWIMBAJI NEYO.













R&B superstar Ne-Yo amekua akitumia muda mwingi kuandikia nyimbo mastaa kadhaa wa muziki duniani, na inaonekana imelipa sana kwa sababu sasa ametumia dola za kimarekani dola laki tano kununua bonge la jumba huko Georgia Atlanta Marekani.
Ni nyumba yenye vyumba 6, mabafu matano na kiwanja cha gofu ambapo kwa ujumla eneo zima lina ukubwa wa square foot 5,900…

No comments: