NAHODHA
wa Taifa Stars Abdurahman Juma akimtambulisha rais wa Sudan wakati huo
Nimeir kwa mchezaji Omary Zimbwe, huku Mohamed Chuma kushoto, Kitwana
Manara mrefu na Abdallah Kibadeni anayeonekana kichwa wakishuhudia
kwenye mechi ya kimataifa kati ya Stars na Sudan! Kwenye mechi hiyo
Stars ilicheza tumbo wazi kwa uzembe wa viongozi wa FAT! Nyerere ambaye
alikuwa rais wakati huo kwa tukio hilo alisusa kwenda mpirani hadi
anafariki! Hii ilikuwa miaka ya 1970 hivi
Na Adam Fungamwango
|
No comments:
Post a Comment