Arsenal
FC ya Uingereza imepangiwa kucheza na Fenerbache ya Uturuki katika
mechi ya mtoano kuwania kucheza hatua ya makundi ya ligi ya Mabingwa ya
Ulaya katika mechi zilizopangwa kuanza kuchezwa kati ya Agosti 20 - 21.
Hata hivyo imeripotiwa kuwa klabu hiyo ya Uturuki ina kesi ya kupanga
matokeo katika mahakama ya michezo, inaweza kutupwa nje ya mashindano
hata kama ikiishinda Arsenal, iwapo itashindwa kesi yake. Pia,
AC Milan itacheza na PSV Eindhoven, Schalke Vs Metalist Kharkiv, Lyon Vs
Real Sociedad, Pocos de Fereira vs Zenit ana Shakhter Karagandy vs
Kazakhstan. |
No comments:
Post a Comment